Napenda kuwatangazia kuwa tuna suppy pillows za aina tofauti tofauti kutokana mahitaji ya nyumbani kwako pia kuna color mchanganyiko kutokana accessories za ndani kwako pendezesha nyumba yako kwa pillows !!!Tunapatikana kwa number hii:+255 787 958240 +255 758 150197
The color of wall is wow................. Painting ni moja ya decoration ambayo inaweza kubadili muonekano wa chumba,Ila kuchagua the light color inaweza kuwa changamoto.Hapo ni nimeweka baadhi ya picture km ideas ya kukuongaza wakati wa kufanya maamuzi ya kuchagua color kwa ajili ya room yako.Unapochagua rangi jambo la kwanza la kizingatia nikitugani unaenda kuweka katika hiyo room(color vitu),pia ni vizuri kuchanganya light color na color iliyopoa hii ni kwa wenye nyumba kubwa.kama room ni ndogo sipen...
Contemporary Family Room by
wengi wetu tutakuwa tunaweka vitabu vyetu kwenye masanduku chumbani tengeneza shelf nzuri lenye mvuto kwa ajili kuweka vitabu vyako ni kumbukumbuku tosha kwa kizazi chako. Kama utapenda hii wasiliana na hmdecoration2010@gmail.com
Baking soda ni unga ambao unatumika kupikia chakula km cake ,maandazi,visheti, nakadhalika. Kwa upande mwingine hii banking soda utumika kwa kazi nyingi tofauti tofuati. Kazi ya kwanza: .Friger:Weka banking soda kwenye friger inasaidia kukata harufu ya mbaya na kufanya kunukia fresh.pia unaweza kuweka sehemu yoyote ndani ya nyumba kwa ajili ya kukata harufu. Tile floor: unachotakiwa ni ku-add 1/2 cup baking soda kwenye ndoo ya maji moto kisha mop baada ya hapo utaona tile zako safi na zinangaa. Car...
Heloo my People!!!! hope weekand ilikuwa nzuri na wote tumesalimika, Leo nimependa kuwapa tips kidogo za jinsi ya kusafisha Friger najuwa wengi wetu tunakuwa na tatizo la kutosafisha friger mala kwa mala na kusababisha kutoa harufu mbaya kila unapofungua friger.sababu ya vyakula vilivyo kaa mda mrefu au kuchacha. 1.Zima Friger na unplug. 2.Ondoa viti vyote kutoka kwenye friji yako kama kawaida,vile vyote vimepita mda wake wa kutumika. 3.Chukuwa Baking soda 1/2 kikombe changanya na warm...
Just want to put a shout out to all the Mom's this Mother's Day! This goes out to all you moms who go above and beyond for your family. For the mom's who struggle with illness and still manage to put food on the table and clean clothes on their kids backs. For those who are foster moms and showing and giving love to kids who would not have it. To new mom, learning and growing into mothers each day. And to Mom's who have pass on, and left their memories in their childrens heart, what it means to be lo...
One of my favorite parts of my job ni kuona mtu ameweka pillows in the new homes.Baadhi ya wateja inakuwaga ngumu sana kuelewana nao sababu kuu ni kuwa na watoto wadogo ila nachopenda kusema usiache kupamba nyumba yako sababu ya watoto ,Ni vizuri kupamba nyumba yako na mtoto anavyokuwa anaviona ili avizoe machoni mwake hii itamsaidia kutochezea na kuona ni vitu vya kawaida kwake.Cha kufanya ni kumnunulia Toys za kutosha tofauti ku-mkeep busy zano.
Every man has a mother. We're reminding you of this because Mother's Day happens to be just around the corner, and we sincerely hope you've got plans to show your mom how much you appreciate her. If you haven't figured out a strategy, I'm here to help get you on the right track by providing mother's day gift ideas for moms with different interests because it can be tough to find the gift that is just right. content with : hmdecoration2010@gmail.com +255 787958240
BONGO SHOPAHOLICS: WALE WA PENZI WA KITTEN HEELS NA VIATU VYA KAZINI ...: Hello My Pipo!!!! Kesho Bongoshopaholics watakuwa na mzigo mpya njoo na ndugu,shoga. jumamosi hii 4/5/2013 make sure you don't miss. Kama kawaida.